Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mkalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe: Jackson Masaka (Kushoto) na kamati yake wakimsikiliza Mhandisi wa Ujenzi wa Wilaya Injinia Ramadhani Mohamedi wakati akitoa taarifa fupi ya Maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. |
No comments:
Post a Comment