Wednesday, 7 December 2016

Ziara ya Kamati ya Ulinzi na Usalama

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya  Mkalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe: Jackson Masaka (Kushoto) na kamati yake wakimsikiliza Mhandisi wa Ujenzi wa Wilaya Injinia Ramadhani Mohamedi wakati akitoa taarifa fupi ya Maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama.

Mhandisi wa Ujenzi wa Wilaya Injinia Ramadhani Mohamedi (kulia)  akitoa maelekezo kwa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya juu ya namna idara mbalimbali zitakavyopangwa wakati wa kuhamia katika jengo jipya  la Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya  Mkalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe: Jackson Masaka (kulia)  na kamati yake wakipata maelekezo ya moja ya vyumba vya jengo jipya la halmashauri ya Wilaya ya Mkalama.

Mhandisi wa Ujenzi wa Wilaya Injinia  Ramadhani Mohamedi (kulia)  akitoa maelekezo kwa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya juu ya namna idara mbalimbali zitakavyopangwa wakati wa kuhamia katika jengo jipya  la Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya  Mkalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe: Jackson Masaka (kushoto)  akipata maelezo kuhusu huduma ya maji inayotolewa katika Wilaya ya Mkalama kutoka kwa Mhandisi wa Maji wa Wilaya Injinia Heke Bulugu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya  Mkalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe: Jackson Masaka akiangalia mtambo unaotumika kusukuma maji yanayotumiwa na wakazi wa Wilaya ya Mkalama.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya  Mkalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe: Jackson Masaka (kulia) akiangalia namna maji yanavyotoka kupitia mashine ya 'kupampu' kwa mkono kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

HALMASHAURI YA WILAYA MKALAMA