Tuesday, 12 July 2016                                                       TANGAZO

KUANZIA HIVI SASA UKURASA HUU UTAKUWA UKISHAPISHA TAARIFA ZA JUMLA TU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA ZINAZOLENGA KUTANGAZA FURSA MBALIMBALI ZA KIMAENDELEO ZILIZOPO KATIKA WILAYA HII. TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU MBALIMBALI YA IDARA ZITAKUWA ZIKICHAPISHWA KATIKA KURASA ZA IDARA  ZILIZOPO UPANDE WA KULIA (CHINI) WA UKURASA HUU MKUU. AHSANTENI SANA!

No comments:

Post a Comment

HALMASHAURI YA WILAYA MKALAMA