AFYA


IDARA YA AFYA:
DR. DEOGRATIUS B. MASINI
KAIMU MGANGA MKUU
0714460159

EPHRAIM KAPHILIMBI
AFISA MUUGUZI
0755495306
0784433118
DUNCAN KIFALUKA
MRATIBU WA CHANJO
0784882243
DANIEL MATALU
AFISA AFYA
0786011669
KUNBERTH THOMAS
MTAALAMU WA MAABARA
0685753903
DANIEL BASO
MSAIDIZI AFYA YA UZAZI
0688050029
NICHOLOUS GERALD
AFISA USTAWI WA JAMII
0786957076
APRONIA BITSESA
MRATIBU AFYA YA UZAZI
0765866887
0784338620
ANASARA PHILIPO
MTAKWIMU
0784718065
ELIZABETH YONA
MRATIBU WA MALARIA
0755493283
0763339967
MWAJUMA ISSA
AFISA USTAWI WA JAMII
0766766727
0658766727
JENIPHER MOSES
KAIMU MFAMASIA
0757760243
ELIWANDISHA KINYAU
MRATIBU WA LISHE
0767816457
VIVIAN MPANGALA
MRATIBU WA UKIMWI
0785596037                               CHUO CHA IAMBI WAFANYA MAHAFALI

Chuo cha Uuguzi na Ukunga Iambi kilichopo Wilayani hapa kimefanya mahafali yake Mwishoni mwa wiki iliyopita ikiwa ni ya pili tangu kuanzishwa kwake.

Katika Mahafali hayo, Mkuu wa Chuo hicho, Bi Joyce Lyanga  alisema kuwa pamoja na mafanikio waliyoyapata katika kipindi kifupi tangu chuo hicho kianzishwe, kumekuwa na changamoto mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwakabili ikiwemo ukosefu wa gari la chuo, walimu kutopata mishahara kwa wakati, upungufu wa walimu, kutokuwa na mlezi wa chuo na kukosekana na muelekezi wa masomo ya kliniki.

Kwa mujibu wa Bi. Lyanga mafanikio yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa chuo hicho ni pamoja na idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu ambapo wanafunzi 20 kati ya 32 walioandikishwa chuoni hapo wamefanikiwa kuhudhurishwa katika mahafali hayo , kupata usajili kamili kutoka baraza la Vyuo vya Ufundi nchini (NACTE), kununuliwa kwa tarakilishi (computer) nane kwa ajili ya mafunzo ya somo hilo, kutengeneza vitanda 30 ambavyo vipo kwenye mtindo wa “double decker” kwa ajili ya wanafunzi wanaokaa chuoni hapo na kununua meza kubwa nne za library ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa wanafunzi kujisomea wakati na baada ya kutoka darasani.

Chuo cha Uuguzi na Ukunga cha Iambi ni taasisi iliyopo chini ya hospitali ya Iambi inayojitegemea katika kupanga na kutekeleza malengo yake iliyojiwekea na kuendeshwa kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu, maadili na sera za wizara ya afya ambapo kilianzishwa rasmi tarehe 24/03/2014.


PICHA MBALIMBALI JINSI MADAKTARI BINGWA WALIVYOKUWA KATIKA CHUMBA CHA UPASUAJI KATIKA HOSPITALI YA IAMBINo comments:

Post a Comment

HALMASHAURI YA WILAYA MKALAMA