Sunday, 1 May 2016

MKALAMA NDANI YA USAFI KITAIFA

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai akizungumza na baadhi ya wanawake wa kata ya Nkalankala muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la usafi

Hapa waliomba kupiga naye picha kama sehemu ya kumbkumbu ya ziara hiyo.

Wananchi wa kata ya NkalaNkala wakiwa wanaendelea na zoezi la usafi jumamosi iliyopita.

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai akishiriki katika zoezi la usafi kata ya NkalaNkala.


Sehemu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai mara baada ya usafi.

Afisa mazingira wa Wilaya ya Mkalama Ndugu Amon Sanga akizungumza na wananchi wa kata ya Nkalankala baada ya kufanya usafi.

Mlezi wa Kata ya Nkalankala ambaye pia ni Afisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Mkalama, Chacha James akizungumza na wananchi wa kata hiyo baada ya usafi

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai akizungumza na wananchi wa kata ya Nkalankala muda mfupi baada  ya kumalizika kwa zoezi la usafi

No comments:

Post a Comment

HALMASHAURI YA WILAYA MKALAMA