Friday 8 September 2017

KUITWA KWENYE USAHILI


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama anawatangazia wafuatao  kuwa wanatakiwa kuhudhuria Usaili wa maandishi na wa mahojiano ya ana kwa ana kwa nafasi walizoomba. Usaili huo unatarajia kufanyika tarehe 13/09/2017 hadi 15/09/2017 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri. Wasailiwa wa kada ya Mtendaji wa kijiji III, watafanya usaili wa maandishi tarehe 13/09/2017 na kada zilizosalia watafanya usaili wa maandishi tarehe 14/09/2017

Ili uweze kusoma na kupakua majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya usahili tafadhali BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

HALMASHAURI YA WILAYA MKALAMA