
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya
Wilaya ya Mkalama anawatangazia wafuatao
kuwa wanatakiwa kuhudhuria Usaili wa maandishi na wa mahojiano ya ana
kwa ana kwa nafasi walizoomba. Usaili huo unatarajia kufanyika tarehe 13/09/2017 hadi 15/09/2017 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri. Wasailiwa wa
kada ya Mtendaji wa kijiji III,
watafanya usaili wa maandishi tarehe 13/09/2017
na kada zilizosalia watafanya usaili wa maandishi tarehe 14/09/2017.
Ili uweze kusoma na kupakua majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya usahili tafadhali BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment