Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai akizungumza na baadhi ya wanawake wa kata ya Nkalankala muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la usafi |
Hapa waliomba kupiga naye picha kama sehemu ya kumbkumbu ya ziara hiyo. |
Wananchi wa kata ya NkalaNkala wakiwa wanaendelea na zoezi la usafi jumamosi iliyopita. |
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai akishiriki katika zoezi la usafi kata ya NkalaNkala. |
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai mara baada ya usafi. |
Afisa mazingira wa Wilaya ya Mkalama Ndugu Amon Sanga akizungumza na wananchi wa kata ya Nkalankala baada ya kufanya usafi. |
Mlezi wa Kata ya Nkalankala ambaye pia ni Afisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Mkalama, Chacha James akizungumza na wananchi wa kata hiyo baada ya usafi |
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe: Christopher Ngubiagai akizungumza na wananchi wa kata ya Nkalankala muda mfupi baada ya kumalizika kwa zoezi la usafi |
No comments:
Post a Comment